Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Dk. Terezya Huvisa akitoa
maelezo ya kazi baada ya kukagua chanzo cha maji - Kibirizi katika
Manispaa ya Kigoma
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira, Dk. Terezya Huvisa akipata
maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugezi wa Manispaa ya Kigoma Bw. Protus
Kato juu ya jitihada zinazofanywa na Manispaa hiyo kukusanya taka katika
soko la Nazareti. Waziri Huvisa alifanya ziara ya kushtukiza katika
Manispaa hiyo kuangalia hifadhi ya Mazingira.Picha na Ali Meja
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)