Afisa
mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Bi. Dangio Kaniki
akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla
kukabidhi zawadi ya pesa taslimu kwa washindi wa wiki ya kwanza wa
promosheni ya Nani Mkali,makabidhiano hayo yamefanyika makao makuu ya
Kampuni ya Airtel Morocoo Jijini Dar-es-salaam, wakiwa katika picha ya
pamoja ni washindi wa kutoka mkoa wa Dar es Saalam kutoka kushoto wa
kwanza ni Dr.Hetal Anthan, akifatiwa na Bw Albogast Oiso na Bw Daniel
Mshana.
Afisa
mawasiliano wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Bi. Dangio Kaniki
akimpongeza mmoja wa washindi wa shindano la Nani Mkali Bw Daniel
Mshana baada ya kusaini fomu ya kuthibitisha ushindi baada ya
kujishindia pesa taslimu milioni moja katika hafla iliyofanyika makao
makuu ya Kampuni ya Airtel, wa pili kushoto ni washindi wengine ambao ni
Bw Albogast Oiso akifatiwa na Dr.Hetal Anthan akishuhudia kulia ni Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Airtel Bi Jane Matinde.
Mmoja
wa washindi wa shindano la Mkali Nani linaloendeshwa na kampuni ya simu
za mikononi ya Airtel Bw Daniel Mshana(katikati) akiongea na waandishi
wa habari (hawapo pichani) baada ya kukabidhiwa kitita cha shilingi
milioni moja baada ya kuibuka kuwa mshindi wa wiki ya kwanza ya
promosheni ya nani mkali. Pichani (kushoto)ni mshindi Bw Albogast Oiso
(kulia) ni Afisa mawasiliano wa Airtel Bi.Dangio Kanikiakifatiwa na
moja ya mshindi Dr.Hetal Anthan,
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)