Washindi wa Airtel Mzuka Promotion Arusha wakabidhiwa Zawadi - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Washindi wa Airtel Mzuka Promotion Arusha wakabidhiwa Zawadi

Afisa mauzo wa Airtel kanda ya kaskazini Lewis Mkenda (kushoto) akikabidhi simu aina ya Samsung GT E10559 kwa mshindi wa promosheni ya Mzuka wa Airtel  bw Kimaro John wa Arusha mara baada ya kutangazwa kuwa moja kati ya washindi wa promosheni hiyo inayoendea na wateja wa Airtel kujishindi zawadi mbalimbali zikiwemo Simu, ipad, muda wa maongezi na pesa taslimu
Mshindi wa promosheni ya Mzuka wa Airtel Bw Lucas Michael wa mkoa wa Arusha (kulia) akipokea zawadi ya Samsung galaxy Tab toka kwa Afisa masoko wa kanda ya kaskazini wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Bwn Geofrey Sayore mara baada ya kuibuka moja kati ya washindi.
Afisa masoko wa Airtel kanda ya kaskazini Geofrey Sayore akikabidhi simu ya Samsung GT 3210 kwa mshindi wa promosheini ya Mzuka wa Airtel bwn festo Ronald Msoffe wa Arusha mara baada ya kutangazwa kuwa moja kati ya washindi wa promosheni hiyo inayoendea na wateja wa Airtel kujishindi zawadi mbalimbali zikiwemo Simu, ipad, muda wa maongezi na pesa taslimu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages