Rais
Dk. Jakaya Kikwete akiongea na mabalozi mbalimbali aliowakaribisha
katika tafrija ya kuukaribisha Mwaka mpya - Sherry Party - Ikulu
jijini Dar es salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mabalozi katika
tafrija ya mwaka mpya - Sherry Party - Ikulu jijini Dar es salaam leo
PICHA NA IKULU
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)