Wajumbe wa
Baraza la Seneti la Marekani pamoja na Melinda Gates wakimkabidhi
mkulima wa Arusha mbegu maalumu za mahindi kama sehemu ya dhamira ya
Mfuko wa Bill na Melinda Gates, kuchangia maendeleo nchini. Hafla hiyo
ilifanyika katikati ya wiki hii, mkoani humo. (Picha ya Ubalozi wa
Marekani).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)