MKURUGENZI WA HOME SHOPPING CENTER AMKABIDHI RAISI KIKWETE SETI YA VYOMBO KWAAJILI YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MKURUGENZI WA HOME SHOPPING CENTER AMKABIDHI RAISI KIKWETE SETI YA VYOMBO KWAAJILI YA WAATHIRIKA WA MAFURIKO


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea seti ya vyombo vya nyumbani na taa inayotumia nguvu za jua toka kwa Mkurugenzi wa Home Shopping Centre Bw Gharib Saidi Mohamed ambaye kampuni yake imejitolea kugawa seti kama hizo pamoja na taa kwa kila familia 655 zilizohamishiwa Mabwepande baada ya kuathirika na Mafuriko katika bonge la Msimbazi. Bw Gharib pia ameahidi kujenga shule ya msingi ya eneo hilo pamoja na kituo cha polisi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages