Rais
Jakaya Kikwete na mkewe mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za
mwisho kwa mwili wa Kanali Pastory Kamugisha wa JWTZ aliyefariki juzi
kabla ya kusafirishwa kwenda kwao mkoani Kagera. Hafla hii imefanyika
leo katika kambi ya jeshi ya Lugalo Jijini Dar es salaam.
Rais
Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakioneshwa maeneo ya makazi
mapya ya walioathirika na mafuriko katika bonde la Msimbazi
walipotembelea eneo hilo leo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)