Ndugu
Saidi Tamimu Ally ambaye ni mlemavu wa ngozi na pia ni mlemavu wa
macho, anasumbuliwa na saratani ya ngozi iliyoathiri sehemu kubwa ya uso
upande wa kulia na mgongoni.Saidi anahitaji msaada wa hali na mali
ili kupata matibabu , huduma ya chakula na msaada wa kisaikolojia.
Ndugu Saidi anaishi Mburahati Mtaa wa Kanuni nyumba namba 393.Kwa
msaada na mawasiliano zaidi tafadhali wasiliana na Anna Sangai :Simu
namba 0715 362373 au kwa barua pepe anna.sangai@gmail.com
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)