RAIS DK JAKAYA KIKWETE NA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA KATIKA MSIBA WA KAMISHINA WA MAGEREZA NKUKU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS DK JAKAYA KIKWETE NA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA KATIKA MSIBA WA KAMISHINA WA MAGEREZA NKUKU

Rais Jakya Kikwete na Mkewe Salma wakitoa heshima za mwisho kwa alieyekuwa mkuu wa utawala na fedha wa Jeshi la Magereza, Kamishina Elias Mtige Nkuku katika ibada iliyofanyika kwenye chuo cha Maofisa wa Magereza, Ukonga jijini Dar es salaam Januari 13, 2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho kwa alieyekuwa mkuu wa utawala na fedha wa Jeshi la Magereza, Kamishina Elias Mtige Nkuku katika ibada iliyofanyika kwenye chuo cha Maofisa wa Magereza, Ukonga jijini Dar es salaam Januari 13, 2012
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapa pole wanafamilia ya alieyekuwa mkuu wa utawala na fedha wa Jeshi la Magereza, Kamishina Elias Mtige Nkuku katika ibada iliyofanyika kwenye chuo cha Maofisa wa Magereza, Ukonga jijini Dar es salaam Januari 13, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages