VIJANA MWANZA WAJINOA KWA GWARIDE LA 'KUFA MTU' SIKU YA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 35 YA CCM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

VIJANA MWANZA WAJINOA KWA GWARIDE LA 'KUFA MTU' SIKU YA KILELE CHA MAADHIMISHO YA MIAKA 35 YA CCM


Vijana kutoka wilaya zote za mkoa wa Mwanza wamo katika mazoezi ya gwaride maalum kwa ajili ya sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 35 ya CCM yatakayofanyika Kitaifa mkoani humo, Februari 5, mwaka huu. Pichani, baadhi ya vijana hao wakiwa katika mazoezi ya gwaride kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza 
Vijana kutoka wilaya zote za mkoa wa Mwanza wamo katika mazoezi ya gwaride maalum kwa ajili ya sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 35 ya CCM yatakayofanyika Kitaifa mkoani humo, Februari 5, mwaka huu. Pichani, baadhi ya vijana hao wakiwa katika mazoezi ya gwaride kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza 
Vijana wa kike wakionyesha ukakamavu wao wakati wa mazoezi ya gwaride maalum la umoja wa vijana wa CCM (UVCCM) kwa ajili ya sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 35 ya CCM zitakazofanyika Kitaifa jijini Mwanza.
Brass band itakayoongoza gwaride maalum la Vijana wa CCM, ikiwa katika mazoezi leo kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Viongozi wa gwaride hilo wakiwa mazoezini leo kwenye wanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza zitakakofanyika sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 35 ya CCM 
 Vijana wanaofanya mazoezi ya gwaride maalum wakitoka kwenye Uwanja wakati wa mapumziko baada ya mazoezi hayo leo.
 Vijana wanaoshiriki mazoezi kwa ajili ya gwaride maalum la sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 35 ya CCM wakipumzika baada ya mazoezi leo asubuhi kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza 
 Vijana hao wanaoshiriki mazoezi ya gwaride maalum la miaka 35 ya CCM, tangu waweke kambi kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza, hupata mahitaji yao hapo ikiwemo chakula. Pichani chakula kikiandaaliwa kwenye Uwanja huo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages