RAISI WA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA WATENDAJI WA WIZARA YA MIUNDOMBINU NA MAWASILIANO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAISI WA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA WATENDAJI WA WIZARA YA MIUNDOMBINU NA MAWASILIANO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Balaza Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano,katika hatua zake za utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo,ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana.
Watendaji wa Uongozi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Balaza Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza na watendaji hao katika ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar, katika hatua zake za utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo jana. (31/01/2012).
Watendaji wa Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Balaza Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,alipozungumza nao katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,(Picha na Ramadhan Othman IKulu).(31/01/2012)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages