Rais wa Zanzibar, Dk. Shein akutana na Balozi wa Marekani Nchini Alfonso Lenhardt - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais wa Zanzibar, Dk. Shein akutana na Balozi wa Marekani Nchini Alfonso Lenhardt

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhardt alipofika Ikulu Mjini Zanzibar Januari 31.12.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Ujumbe uliofuatana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Lenhardt, walipofika Ikulu Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso Alfonso Lenhardt, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar.(Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages