Wajumbe
wa Baraza la Wawakilishi wakiwa nje ya Ukumbi wa Mkutano kulia Mhe Ali
Juma Shamuhuna, Mhe. Dk.Mwinyihaji Makame na Mhe Machano Othman
,wakibadilishana mawazo baada ya kumalizika kwa Kikao cha Asubuhi.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi, Mipango na Maendeleo Omar Yussuf
Mzee (kushoto) akijadili jambo na Mwakilishi wa Mji Mkongwe Jussa
Ismail, wakati wa mapumziki ya Kikao cha asubuhi kumalizika jana
Waziri
wa Katiba na Sheria Abubakar Khamis, akisisitiza jambo alipokuwa
akibadilishana mawazo na Mwakilishi wa Kitope Makame Mshimba.
Wajumbe
wa Baraza la Wawakilishi wakiwa katika Ukumbi wa Mkutano wakichangia
Mswada wa Mafao ya Viongozi wa Kisiasa Wastaafu Zanzibar.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)