Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk. Namala Nkopi akisisitiza jambo wakati wa mkutano huo.

Rais
Mteule wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT),Primus Saidia akionesha
vitabu vya Serikali vinavyoelezea haki za wafanyakazi wa Taasisi za
Serikali wakiwemo madaktari, jana wakati wa mkutano mkuu wa madaktari
nchini, Dar es Salaam jana , ambapo pamoja na mambo mengine
walizungumzia kuhusu tamko lao la kuitaka Serikali kuwarejesha Hospitai
ya Taifa ya Muhimbili, madakari wenzao walioko mafunzoni ambao
wamehamishiwa hospitali za kawaida baada ya kuitisha mgomo wa kudai
malipo yao.
Rais
wa Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), Dk. Namala Nkopi akifafanua
jambo wakati wa mkutano mkuu wa madaktari nchini, Dar es Salaam, ambapo
pamoja na mambo mengine walizungumzia kuhusu tamko lao la kuitaka
Serikali kuwarejesha Hospitai ya Taifa ya Muhimbili, madakari wenzao
walioko mafunzoni ambao wamehamishiwa hospitali za kawaida baada ya
kuitisha mgomo wa kudai malipo yao.
Baadhi
ya madaktari wakisikiliza kwa makini wakati Rais wa Chama cha Madaktari
Tanzania (MAT), Dk. Namala Nkopi akifafanua jambo katika mkutano mkuu
wa madaktari nchini, Dar es Salaam jana, ambapo pamoja na mambo mengine
alizungumzia kuhusu tamko lao la kuitaka Serikali kuwarejesha Hospitai
ya Taifa ya Muhimbili, madakari wenzao walioko mafunzoni ambao
wamehamishiwa hospitali za kawaida baada ya kuitisha mgomo wa kudai
malipo yao.Picha na Mdau Richard Mwaikenda





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)