Jk akisalimiana na balozi wa marekani nchini
JK akisalimiana na makamu wa kwanza wa Rais Maalim Seif Shariff Hamad
JK akisalimiana na Waziri Kiongozi Mstaafu Mh Ramadhani Haji Fakhi
Wanajeshi wa jeshi la wananchi la Tanzania wakipita mbele ya Jukwaa kuuu wakitoa heshima katika sherehe za miaka 48 ya mapinduzi ya Zanzibar
Baadhi ya Wakazi wa Zanzibar na waliohudhuria sherehe hizo za mapinduzi ya Zanzibar
Viongozi Wa Serikali Ya Mapinduzi ya Zanzibar Na Raisi Jakaya Kikwete Wakiwa wamesisimama kama ishara ya kupokea heshima inayotolewa na vikosi vya usalama wakati vikipita mbele ya jukwaa kuu leo
Raisi Wa Serikali Ya Mapinduzi Ya Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein Akiwapungia Mkono Wananchi waliohudhuria sherehe za miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Makamu Wa Kwanza Wa Raisi ya Serikali Ya Zanzibar Mh Seif Sharif Hamady wa Pil kushoto, Mama Salma Kikwete wa tatu kulia Na Wazir Mkuu Wa Tanzania Mh Mizengo Kayanza Peter Pinda wakiwa katika sherehe za miaka 48 ya mapinduzi ya Zanzibar
Msafara Wa Raisi Wa Zanzibar Dk Shein Ulipokuwa Unaingia Uwanjani
Raisi Wa Zanzibar Dk Shein alipokua akikagua gwaride katika sherehe za kutimiza miaka 48 ya mapinduzi ya Zanzibar
Wananchi wakishuhudia mizinga 21 ikipigwa
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)