SEIF SHARIF HAMAD AZINDUA JENGO LA MFUKO WA BARABARA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

SEIF SHARIF HAMAD AZINDUA JENGO LA MFUKO WA BARABARA

MAKAMO WA KWANZA WARAIS SEIF SHARIF HAMAD AKIFUNGUWA JENGO LA MFUKO WA BARA BARA MAISARA MJINI ZANZIBAR HUU NI MFULULIZO WA TAUKIO YA YANAYOAMBATANA NA MAADHIMISHO YA MIAKA 48 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR
JENGO LA MFUKO WA BARA BARA AMBALO MAKAMO WA KWANZA WA RAIS SEIF SHARIF HAMAD AMELIFUNGUWA RASMI HII LEO SHUGHULI HIYO ILIFANYIKA HUKO MAISARA MJINI ZANZIBAR.PICHA NA HAMAD HIJA MAELEZO ZANZIR

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages