Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akimuapisha Ibrahim Mzee Ibrahim,kuwa Mkurugenzi wa Mashtaka
Zanzibar,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akimuapisha Mahmoud Mussa Wadi, kuwa Naibu Mufti Mkuu wa
Zanzibar,katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar jana.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akiwa katika picha na Ibrahim Mzee Ibrahim, Mkurugenzi wa
Mashtaka Zanzibar,(kulia) na Mahmoud Mussa Wadi, Naibu Mufti Mkuu wa
Zanzibar,baada ya kuwaapisha kushika nafazi alizowateuwa,katika hafla
iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar jana
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wakuu wa
Serikali baada ya kuwaapisha Ibrahim Mzee Ibrahim, Mkurugenzi wa
Mashtaka Zanzibar,(kushoto kwa Rais) na Mahmoud Mussa Wadi, Naibu Mufti
Mkuu wa Zanzibar,(kushoto kwa Rais) katika hafla iliyofanyika Ikulu
Mjinizanzibar jana.Picha na Ramadhan Othman,IKULU-Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)