Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akipokea ripoti ya kamati ya mapinduzi Cup 2012 na Katibu wa
Kamati hiyo Khamis Abdulla Said,wakati wa wajumbe wa kamati hiyo chini
ya Mwenyekiti wake Mohamed Raza walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kuonana
na Rais leo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,(kulia) akimkabidhi cheti Mwakilishi wa Kampuni ya Zanzibar Ocean
View Hotel,Hania Makungu,kwa uchangiaji wa Hateli hiyo katika mashindano
ya mchezo mpira wa Miguu Mapinduzi Cup, yaliyomalizika hivi karibuni
wakati wa Sherehe za miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar,katika uwanja wa
Amaan Studium Mjini Zanzibar,katika hafla hiyo ilifanyika Ikulu Mjini
Zanzibar leo,(katikati) Mohamed Raza Mwenyekiti wa kamati ya Mapinduzi
Cup 2012.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,(kulia) akimkabidhi cheti Mwakilishi wa Kampuni ya Multi-Color
Printertersm Rahim Bhaaloo, cha uchangiaji katika mashindano ya mchezo
mpira, Mapinduzi Cup 2012 yaliyomalizika hivi karibuni wakati wa Sherehe
za miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar,katika uwanja wa Amaan Studium
Mjini Zanzibar,hafla hiyo ilifanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo,(katikati)
Mohamed Raza Mwenyekiti wa kamati ya Mapinduzi Cup 2012.
Mwenyekiti
wa Kamati ya wajumbe wa Mapinduzi Cup 2012 Mohamed Raza,akitoa maelezo
kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,(kulia) wakati kamati hiyo ilipofika Ikulu Mjini Zanzibar Kuonana
na Rais .
Waziri
wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo,Abdilah Jihadi
Hassan,akiwatambulisha wajumbe wa kamati ya Mapinduzi Cup 2012 kwa Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,walipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na kamati hiyo.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa kamati ya
Mapinduzi Cup 2012 chini ya Mwenyekiti wake Mohamed Raza (watatu
kushoto) baada ya hafla ya kuwazawadia vyeti wafadhili wa mashindano ya
mchezo huo, yaliyomalizika hivi karibuni wakati wa Sherehe za miaka 48
ya Mapinduzi ya Zanzibar,katika uwanja wa Amaan Studium Mjini
Zanzibar,wakati wa hafla hiyo ilifanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo.Picha
na Ramadhan Othman,IKULU-ZanZibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)