Dada
Mindi akitoa maneno yake ya shukurani za dhati kabisa mbele ya wageni
waalikwa mbalimbali waliofika kwanye hafla yake ya kumuaga,akienda
kufanya kazi kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Marekani,hafla hiyo
imefanyika mwishoni mwa wikend kwenye viunga vya hoteli ya Doubel
Tree,jijini Dar
Pichani
ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu wa bunge ), Mh
William Lukuvi akizungumza maneno machache ya kumtakia kila lakheri
Dada Mindi katika safari yake mpya ya kikazi kwa nafasi aliyopewa ya
kwenda kufanya kazi kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Marekani,hafla
hiyo ya kumuaga imefanyika mwishoni mwa wikend kwenye viunga vya hoteli
ya Double Tree,jijini Dar.
WAZIRI
wa Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Dk Emmanuel Nchimbi akitoa
maneno machache ya kumpongeza na kumtakia kila lakheri Dada Mindi katika
safari yake mpya ya kikazi kwa nafasi aliyopewa ya kwenda kufanya kazi
kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Marekani,hafla hiyo ya kumuaga
imefanyika mwishoni mwa wikend kwenye viunga vya hoteli ya Double
Tree,jijini Dar.
Pichani kati ni Dada Mindi akipewa zawadi na baadhi ya wanachama wa UWF,ambapo yeye mwenyewe pia alikuwa mwanachama mmoja wapo.
Dada Mindi akiwa katika picha pamoja na baadhi ya marafiki zake.
Dada Mindi akipata picha ya ukumbusho na Mh Lukuvi pamoja na wageni waalikwa wengine
Akiwa na wapiganaji wenzake,kulis ni Adam Gile na mdau.Picha zaidi BOFYA HAPA
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)