Rais
Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe
katika msiba wa Mbunge wa Viti Maalumu (CHADEMA) Mh Regia Mtema leo
January 15, 2012 nyumbani kwa marehemu Tabata jijini Dar es salaam
ambako Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda,Spika Anne Makinda na Waheshimiwa
Mbalimbali walikuwepo
Rais
Jakaya Kikwete akitoa mkono wa pole kwa waombolezaji katika msiba wa
Mbunge wa Viti Maalumu (CHADEMA) Mh Regia Mtema leo January 15, 2012
nyumbani kwa marehemu Tabata jijini Dar es salaam ambako Waziri Mkuu Mh
Mizengo Pinda, Spika Anne Makinda na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman
Mbowe walikuwapo,wa Pili kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu Tundu Pinda
Rais
Jakaya Kikwete akiagana na Waziri Mkuu Mizengo Pinda (Kulia)muda mfupi
baada ya kuwasili Rais Jakaya Kikwete na kujiunga na waombolezaji katika
msiba wa Mbunge wa Viti Maalumu (CHADEMA) Mh Regia Mtema leo January
15, 2012 nyumbani kwa marehemu Tabata jijini Dar es salaam ambako Waziri
Mkuu Mh Mizengo Pinda, Spika Anne Makinda(kushoto) na Mwenyekiti wa
CHADEMA Mh Freeman Mbowe walikuwapo.
Rais
Jakaya Kikwete akijiunga na waombolezaji katika msiba wa Mbunge wa Viti
Maalumu (CHADEMA) Mh Regia Mtema leo January 15, 2012 nyumbani kwa
marehemu Tabata jijini Dar es salaam ambako Waziri Mkuu Mh Mizengo
Pinda, Spika Anne Makinda na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe(wa
tatu kulia)alikuwapo.Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)