Rais
mstaafu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akifunua
pazia kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi katika Jengo la Dakhalia ya
Chuo cha uongozi wa Fedha Chwaka Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni
shamra shamra za sherehe ya kutimia miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais
mstaafu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akitoa
hotuba baada ya kuwekaji Jiwe la Msingi katika chuo cha Uongozi wa
Fedha Chwaka Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni shamra shamra za sherehe ya
kutimia miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais
mstaafu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi
akipatiwa maelezo ya ujenzi wa Dakhalia pamoja na kuangalia Ramani ya
jengo hilo kwa Mshauri mwelekezi Sabra Ameir Issa huko Chwaka Mkoa wa
Kusini Unguja ikiwa ni shamra shamra za sherehe ya kutimia miaka 48 ya
Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais
mstaafu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akikagua
Jengo la Dakhalia ya chuo cha Uongozi wa Fedha Chwaka Mkoa wa Kusini
Unguja ikiwa ni shamra shamra za sherehe ya kutimia miaka 48 ya
Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais
mstaafu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akiwa
katioka picha ya Pamoja na Mawaziri na Wakandarasi wa Jengo la
Dakhalia ya Chuo cha uongozi wa Fedha Chwaka Mkoa wa kusini Unguja
ikiwa ni shamra shamra za sherehe ya kutimia miaka 48 ya Mapinduzi ya
Zanzibar.Picha na Yussuf Simai-Maelezoi-Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)