M.M.I STEEL LTD Yatoa Msaada Wa Mabati 2000 Kwa Waathirika Wa Mafuriko Jijini Dar es Salaam - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

M.M.I STEEL LTD Yatoa Msaada Wa Mabati 2000 Kwa Waathirika Wa Mafuriko Jijini Dar es Salaam

Mkuu wa Moa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick (kulia) akipokea msaada wa mabati 2000 kutoka kwa makampuni ya M.M.I Steel Ltd za jijini Dar es Salaam zilizokabidhiwa na Meneja Uhusiano na Mawasiliano wa M.M.I STEEL LTD, Aboubakary Mlawa hiileo katika eneo la Mabwe Pande nje kidogo ya jiji. Mabati hayo yenye thamani ya shilingi Milioni 26.5 yatagawiwa kwa waathirika wa mafuriko watakao hamia hivi karibu katika eneo hilo jipya.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages