Hey ladies,
This yr its all about giving back…
This Saturday Mwamvita Makamba atakuwa anauza nguo ,viatu, handbag zake kibao
Sababu
kubwa ya sale hii ni kupata pesa ya kusomesha watoto ambao ni oprhans
wasio na uwezo wa kusoma kupitia Flavianna Matata foundation.
Unakaribishwa
sana, kuja kununua vitu vya Mwamvita at the same time umsaidie mtoto
anaehitaji msaada wako kupata elimuSale itafanyika pale KIKIS FASHION.
Kuanzia saa nne asubuhi hadi saa moja usiku.
Usiwaze njaa wala kiu kutakuwa na snacks zinauzwa ,pamoja na vinywaji.
Usimwangalie
Mwam ukahisi labda nguo zake hazitokutosha, naamini lazma unamjua mtu
in ur life ambae ana size ya Mwamvita na unaweza kumnunulia kitu
chochote kama zawadi.
Remember this is all for charity.
Come and show ur support.
See you there.
PS. Kutakuwa na pair ya CL inauzwa kwa bei poaaaaaaaaa……..hapana chezea, uskoseeeeeee…
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)