Baadhi ya
waathirika wa mafuriko wanaoishi nje ya Shule ya Sekondari Benjamin
Mkapa wakiwa na watoto wao kama
walivyokutwa kando ya barabara ya Uhuru Dar es Salaam. Kushoto ni
Mwanaharusi Abubakari, Zarika Juma, Fatuma Hemedi na Mwajabu Haruna. Kwa
mujibu wa Katibu wa Kamati ya Waathirika waliokuwa wapangaji wa maeneo
yaliyokumbwa na mafuriko, Eziaka Wema, eneo hilo lina jumla ya
waathirika 130 ambao hawana mahali pa kuishi. (Picha na Mohamed Mambo).
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)