Rais
Jakaya Kikwete akielekea jukwaani kuhutubia wananchi baada ya kuweka
jiwe la msingi kwa ujenzi wa soko la kijiji cha Mtamba, Morogoro vijij
rRais
Jakaya Kikwete na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Joe Bendera(kushoto)wakivuka
daraja jipya la Magogoni katika barabara ya Kiganila-Mvuha, Morogoro
Vijijini baada ya kulizindua.
Rais
Jakaya Kikwete akiongea baada ya kuzindua daraja la mto Mtombozi tarafa
ya Matombo wilaya ya Morogoro mjini leo January 17, 2012.
Rais Jakaya Kikwete na ujumbe wake na wenyeji wakipita juu ya daraja
jipya la Mtombozi, Matombo, Morogoro vijijini alilozindua Leo.Picha na
IKULU
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)