Balozi
wa Tanzania Nchini Kenya Dk Batilda Burian leo amekuja Kumuaga Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa Ofisini Mtaa
wa Luthuli Mjini Dar es salaam kabla ya kuwa balozi Dk Batilda Burian
Aliwahi Kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira .Picha na Ali Meja
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)