RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS JAKAYA KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

RAIS JAKAYA KIIKWETE AKIAGANA  NA BALOZI WA UTURUKI MH. ALI DAVUTOGLU BAADA YA KUPOKEA HATI ZAKE ZA  UTAMBULISHO LEO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
RAIS JAKAYA KIKWETE AKIPOKEA HATI YA UTAMBULSIHO TOKA KWA BALOZI WA DENMARK NCHINI MH JOHNNY FLENTO
RAIS JAKAYA KIKWETE AKIPOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA BALOZI WA BURUNDI MH ISSA NTAMBUKA
RAIS JAKAYA KIKWETE AKIPOKEA HATI TOKA KWA BALOZI WA UMOJA WA ULAYA MH. FILIBERTO CERIANI SEBREGONDI
RAIS JAKAYA KIKWETE AKIPOKEA HATI YA UTAMBULISHO TOKA KWA BALOZI WA MALAWI MH FLOSSIE ASEKANAO GOMILA-CHIDYAONGA.PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages