Mkuu
wa Upelelezi wa Jeshi la Polisi (RCO) mgeni wa Mkoa wa Mbeya Chacha
(katikati aliyevalia koti Jeusi), akiwa na mtunza hazina wa MUJATA
mkoani Mbeya Kanali Mstaafu Silvester Matiko (kulia) akikaribishwa
katika Ukumbi wa Mji mdogo wa Mbalizi katika sherehe za kumuaga
aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Jeshi hilo mkoani (RCO) Anacletus
Malindisa anayehamia makao makuu ya Jeshi hilo Jijini Dar es salaam
Kutoka
kushoto aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Jeshi la Polisi mkoani Mbeya
(RCO) Anacletus Malindisa anayehamia makao makuu ya Jeshi hilo Jijini
Dar es salaam, akifuatiwa na Mwenyekiti wa MUJATA mkoani hapa Chifu
Shayo Soja katika sherehe za kumuaga na kumkaribisha RCO mpya.Picha na Picha na Ezekiel Kamanga
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)