Nape Nnauye Ampongeza John Mnyika Kwa Kuteuliwa Kuwa Mkuu wa Habari na Uenezi Wa Chadema - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Nape Nnauye Ampongeza John Mnyika Kwa Kuteuliwa Kuwa Mkuu wa Habari na Uenezi Wa Chadema

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi,(CCM) Nape Nnauye
Mheshimiwa John MyikaMbunge wa Jimbo la Ubungo(CHADEMA)na Mkuu wa Habari na Uenezi 
--- 
Akizungumza jana mjini Dar es Salaam, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema anampongeza sana John Myika kuteuliwa na Chadema kuwa Mkuu wa Habari na Uenezi wa chama hicho.

"Nasema hatua ya Chadema kumchagua Mnyika kushika nafasi hiyo ni nzuri kwa kuwa imeonyesha ni jinsi gani vijana wanaendelea kuaminiwa na kupewa nafasi muhimu za uongozi", alisema Nape na kumkaribisha Mnyika katika ulingo wa viongozi wa Uenezi katika vyama vya siasa.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages