
TRAFIKI AKIMSINDIKIZA MTOTO ALIYERUHIWA KATIKA BASI LA MORO BEST

Mtoto Pascal (4) akiwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro, alipofikishwa
kupata tiba baada kujeruhiwa katika basi la Taqwa T 478 BBJ.

MAJERUHI WA BASI LA TAQWA T 478 BBJ PENDO LUKINDO KTK WARDI YA 5B HOSPITALI YA MKOA MORO

MUUGUZI HOSPITALIA YA MKOA MORO. STELLA KIZEGA AKITOA HUDUMA KWA MAJERUHI BASI LA MORO BEST WARDI 5 B PIX NO 3

MAJERUHI WA AJALI MBILI ZA BASI LA TAQWA MAGDALENA LEVIRIAN (18) KULIA NA ELIZABERTH PATRICK (15) PIX NO 6

Askari
wa JWTZ akimwangalia mmoja wa majeruhi wa ajali ya mabasi ya Taqwa na
Moro Best iliyotokea baada ya kulikwepa Lori lililokuwa limeegeshwa
katika Barabara Kuu ya Dar-Moro, eneo la Mikese, Morogoro.

Wasamaria
wema wakiwa wamebeba mmoja wa majeruhi wa ajali ya mabasi ya Taqwa
lililokuwa likitokea Bunjumbura,Burundi kwenda Dar es Salaam.

Baadhi ya abiria wa basi la Moro Best wakimuokoa mwenzao aliyejeruhiwa wakati wa ajali hiyo

MKUU WA USALAMA BARABARANI MKOA WA MORO, LEORNAD GYINDO KUSHOTO AKIMSIKILIZA DEREVA BASI LA MORO BEST T 846 BCU

Askari akimhoji abiria ambaye pamoja na mwanawe walinusurika katika ajali hiyo.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)