Hii
ni stendi ya kubwa ya daladala mkoani Dodoma.......inaitwa
jamatini...mvua ikinyesha mwonekano wake huwa hivi kama
mnavyojionea......
Stendi
hii imekuwa kero pindi mvua zinaponyesha mkoani Dodoma...Halmashauri ya
Manispaa ya Dodoma hukusanya Ushuru kwa kila Daladala linalotoka....(Picha na Faddy Gaib Linga)







No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)