WADAU TUKIWAJIBIKA KATIKA MAJUKUMU YA KILA SIKU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WADAU TUKIWAJIBIKA KATIKA MAJUKUMU YA KILA SIKU

Mtayarishaji na Muandaaji wa LUKAZA BLOG Josephat Lukaza (wa kwanza kulia) akiwa katika moja ya majukumu yake ya kila siku katika kuhakikisha LUKAZA BLOG inapatikana hewani huku pembeni yake akiwa na Muuandaaji wa UDOM CHAMBER blogu Fadhily Gharib Linga ndani ya Ukumbi wa Chimwaga Chuo Kikuu Cha Dodoma Jioni Hii
Kijana Uriel Van akiwa amejiachia Bila Wasiwasi mbele ya Kamera ya Lukaza Blog Jioni Hii ndani ya Ukumbi Wa Chimwaga chini ya kitu Red Kapeti
Mtayarishaji Na Muuandaaji wa UDOM CHAMBER BLOGU Fadhil Linga akiwa busy katika Kuhabarisha wadau wake kupitia blogu yake

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages