Mgeni
rasmi katika Mahafali ya Tatu ya Chuo cha Ufundi Arusha, Waziri mkuu
Mzengo Pinda akizungumza na wahitimu wa, wageni waalikwa na wanajumuia
wa Chuo cha Ufundi
Mkiti wa Bodi ya ATC, Bi. Suzan Mnafe akitoa hotuba fupi katika mahafali ya Tatu ya ATC
| Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha, Mhandisi Dkt. Richard Masika alitoa Hotuba yake katika mahafali ya Tatu ya chuo hicho |
Waziri
Mkuu , mhe. Mizengo Pinda(katikati) akiweka Jiwe la Msingi katika
Jengo la Maabaraya Ujenzi na Umwagiliaji la Chuo cha ufundi Arusha
kabla ya kuwatunuku stashahada mbalimbali za ufundi wahitimu 231 wa
chuo cha ATC.
| Dkt. Nuru Mizary alitoa maelezo mafupi kuhusu maabara ya upimaji wa maji kwa Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo Pinda alipotembelea maabara hiyo labla ya kutunukisha stashahada mbalimbali kwa wahitimu 231 wa chuo hicho (na Gasto Leseiyo) |





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)