Mwenyekiti Wa CHADEMA Mh.Freeman Mbowe Akitoa Salaam Za Pole Kwa Familia Ndugu na Jamaa wa Marehemu Regia Mtema - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mwenyekiti Wa CHADEMA Mh.Freeman Mbowe Akitoa Salaam Za Pole Kwa Familia Ndugu na Jamaa wa Marehemu Regia Mtema

Kiongozi wa Upinzani Bungeni Na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Freeman Mbowe akitoa salam zake za pole kwa familia ndugu na jamaa wa Marehemu Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA,Regia Mtema.Picha Owen David

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages