Katibu
Mkuu katika Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah akiongea na wadau
mbalimbali Jan,13,2012 jijini Dar e salaam kuhusu maendeleo ya
maandalizi ya SENSA ya watu na makazi nchini itakayofanyika August
26,mwaka huu. (Pichani kukulia)ni Mwakilishi wa shirika la (UNFPA)
nchini anaeshughulikia hesabu za watu na makazi Dkt, Julitta
Onabanjo.
Baadhi
ya maafisa wa mkutano wa wadau wa maendeleo ya sensa ya watu na makazi
wakifuatilia taarifa na mkutano huo Jan,13,2012 jijini Dar es Salaam,
Sensa hiyi itafanyika August 26, 2012,
Hapa Katib u Mkuu akizungumza na wadau na maafisa wa SENSA
Baadhi
ya wadau wanaoshughulikia maendeleo ya maandalizi ya SENSA ya watu na
makazi nchini itakayofanyika August,26, mwaka huu wakijadiliana katika
kikao hicho Jan 13,2012 jijini Dar es Salaam wakiongozwa na Katibu
Mkuu wa Wizara ya fedha Ramadhan Khijjah (hayupo pichani). Picha na
Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)