Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Ikulu Peter Ilomo akutana na wafanyakazi wa (MKURABITA) - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Ikulu Peter Ilomo akutana na wafanyakazi wa (MKURABITA)

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Ikulu Peter Ilomo akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Mpango Kurasimisha Rasimali na Biashara ya Wanyonge Tanzania (MKURABITA) jana jijini Dar es salaam wakati wa ziara yake ya kujitambulisha mara baada ya kueteuliwa kuwa Katibu Mkuu na Rais Jakaya Mrisho Kiwete hivi karibuni . Nyuma yake ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Ikulu Susan Paul Mlawi
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Ikulu Susan Paul Mlawi (kushoto) akiongea na wafanyakazi wa Mpango Kurasimisha Rasimali na Biashara ya Wanyonge Tanzania (MKURABITA) jana jijini Dar es salaam wakati wa ziara yake ya kujitambulisha mara baada ya kueteuliwa kuwa Katibu Mkuu na Rais Jakaya Mrisho Kiwete hivi karibuni . Kulia ni Kaimu Mratibu wa Mpango wa MKURABITA Saraphia Mgembe na Katikati ni Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Ikulu Peter Ilomo.
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Ikulu Peter Ilomo akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa Mpango Kurasimisha Rasimali na Biashara ya Wanyonge Tanzania (MKURABITA) jana jijini Dar es salaam wakati wa ziara yake ya kujitambulisha mara baada ya kueteuliwa kuwa Katibu Mkuu na Rais Jakaya Mrisho Kiwete hivi karibuni . Nyuma yake ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Ikulu Susan Paul Mlawi.Na Tiganya Vincent,MAELEZO- Dar es salaam

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages