Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akiwa na makatibu wenzake wa
NEC, kwenye kikao cha Kamati Kuu ya CCM,Ofisi Kuu ya CCM, Kisiwandui
mjini Zanzibar.Kushoto ni Katibu wa NEC, Uchumi na fedha Mwigulu
Nchemba na kulia ni Katibu wa NEC,Siasa na Ushirikiano wa Kimataifa na
Mbunge wa Bumbuli,Mh Januari Makamba.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)