Mgomo Wa Madaktari Nchini:Hali Si Nzuri Hospitali ya Rufaa Mkoani Mbeya Madaktari Watano tu Waripoti Kati Ya Madaktari 75 - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mgomo Wa Madaktari Nchini:Hali Si Nzuri Hospitali ya Rufaa Mkoani Mbeya Madaktari Watano tu Waripoti Kati Ya Madaktari 75

Akiongea na waandishi wa habari mkurugenzi wa Hospitali ya Rufaa Mbeya Dokta Eliuta Sanker amesema mpaka sasa ni madaktari watano 5 tu walioripoti kazini hapo kati ya madaktari 75 waliogoma
 Mwonekano wa Hospitali ya Rufaa ya Mbeya
Baadhi ya madaktari wakisoma matangazo ya kutaka warejee kazini
Baadhi ya wagonjwa wakiendelea kuandikiwa vyeti vya kuwaona madaktari
Madaktari wakiwa wanatoka katika hospitali ya rufaa mbeya baada ya kusaini kitabu cha mahudhurio yakuwa wamefika kazini lakini huduma hawatoi.Picha na Habari na Mbeya Yetu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages