KATIBU WA ORGANAIZESHENI WA CCM TAIFA BI ASHA ABDALLA JUMA AKIWA NA PROF MOHANDAS MKUU WA HOSPITALI HIYO YA MIOT NCHINI INDIA.
KATIBU
WA ORGANAIZESHENI WA CCM TAIFA BI ASHA ABDALLA JUMA BAADA YA KUFANYIWA
MATIBABU YA MGUU WAKE HUKO CHENNAI INDIA,KAAMA ANAVYOONEKANA PICHANI
AKIWA NA WAUGUZI WALIOKUWA WAKIMPATIA HUDUMA KATIKA HOSPITALI YA MIOT
INDIA.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)