Spika
wa Bunge Mhe. Anne Makinda (Mb) akiongoza kikao cha Kamati ya uongozi
ya bunge mara baada ya kipindi cha maswali na majibu Bungeni Dodoma Leo.
kamati ya Uongozi imekaa kupitia upya ratiba ya mkutano wa Bunge
ulioanza leo kwa lengo la kuboresha na kupanga siku ya kujadili miswada
mbalimbali itakayowasilishwa Bungeni. Picha na Owen Mwandumbya-Bunge.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)