Mbunge wa viti Maalim(CCM)Mh Dr. Mary Mwanjelwa mbunge wa viti maalum(CCM) mkoa wa mbeya akiongea na wananchi wa mwanjelwa katika kiwanja cha sido.
Mbunge
wa viti Maalim(CCM)Mh. Mary Mwanjelwa akihutubia wananchi katikati ya
madimbwi ya maji ya mvua huku akisisitiza kuwa ataenda kumwona
mkurugenzi wa jiji la mbeya na kumwomba aje afukie madimbwi hayo huku
wananchi wakimshangilia kwa ahadi hizo.Picha na Wadau Wa Mbeya Yetu
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)