Baadhi ya makocha mbalimbali kutoka mikoa ya TAnzania Bara wakiwa katika kozi hiyo iliyoanza kibaha le
Kocha wa Mchezo wa Ngumi Rajabu (Super D) kulia akibadilishana mawazo
na mkufunzi wa makocha wa Masumbwi wa kimataifa Josef Diouf kutoka
Shirikisho la Dunia la mchezo wa ngumi (AIBA) katikati ni Katibu Mkuu
wa BFT, Makore Mashaga.
(Picha na www.superdboxingcoach. blogspot.com)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)