MAMBO YA LADY IN RED 2012 YAANZA KUPAMBA MOTO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAMBO YA LADY IN RED 2012 YAANZA KUPAMBA MOTO

Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous (wa pili kushoto) akiwa pamoja na wabunifu wenzake wa mavazi watakaoshiriki katika onyesho la Lady in Red 2012 Reloaded linalotarajiwa kufanyika Februari 2, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous (wa tatu kushoto) akiwa pamoja na wanamitindo watakaoshiriki katika onyesho la Lady in Red 2012 Reloaded linalotarajiwa kufanyika Februari 2, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous akitoa maelekezo kwa wabunifu wenzake wa mavazi na wanamitindo watakaoshiriki katika onyesho la Lady in Red 2012 Reloaded linalotarajiwa kufanyika Februari 2, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Onyesho hilo linatarajiwa kuwakutanisha wabunifu wapatao 20 ambao wataonyesha mavazi yao.
Mbunifu wa mavazi mama Asia Idarous akiwa na mbunifu mwenzake Gymkhana Hilali a.k.a Paka Wear pamoja na wanamitindo watakaoshiriki katika onyesho la Lady in Red 2012 Reloaded linalotarajiwa kufanyika Februari 2, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Onyesho hilo linatarajiwa kuwakutanisha wabunifu wapatao 20 ambao wataonyesha mavazi yao.
Mbunifu wa mavazi Gymkhana Hilali a.k.a Paka Wear akiongea na wanamtindo watakaoshiriki katika onyesho la Lady in Red 2012 Reloaded linalotarajiwa kufanyika Februari 2, 2011 katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. Onyesho hilo linatarajiwa kuwakutanisha wabunifu wapatao 20 ambao wataonyesha mavazi yao. (Picha zote na C. A. Kajuna,

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages