MISA YA KUMUOMBEA MAREHEMU REGIA MTEA KATIKA KANISA KATOLIKI LA SEGEREA HAPO JANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MISA YA KUMUOMBEA MAREHEMU REGIA MTEA KATIKA KANISA KATOLIKI LA SEGEREA HAPO JANA

 Mbunge wa Ubungo, John Mnyika akitoa heshima za mwisho kwa marehemu, Regia Mtema wakati wa Misa ya Kumuaga iliyofanyika katika Kanisa Katoliki Parokia ya Segerea, Dar es Salaam. Mwili huo utaagwa tena kiserikali katika Ukumbi wa Karimjee na kusafirishwa kwenda Ifakara mkoani Morogoro kwa mazishi yatakayofanyika jumatano
 Spika wa Bunge, Anne Makinda akiaga Mwili wa Marehemu Regia Mtema
Gavana wa Benki Kuu, Profesa Beno Ndulu akiaga mwili wa marehemu Regia Mtema

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages