Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiagana na mke wa Balozi wa Libya nchini
Madame Najaat Abeid katika viwanja vya Ikulu alipohudhuria hafla
ya kusherehekea mwaka 2012 jana
Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete (kushoto) akibadilishana mawazo na
baadhi ya wake wa mabalozi katika sherry party Jan 11,2012 katika
viwanja vya Ikulu jijijni Dar es salaam.
Mke
wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete akiwa
katika picha ya pamoja na baadhi wa wake wa Mabalozi,
Picha
ya pamoja ya baadhi ya wake wa mabalozi waliohudhuria katika hafla
ya kila mwaka ya Sherry Party iliyoandaliwa ma mke wa Rais Mama
Salma Kikwete Jan.12.2011 katika viwanja vya Ikulu,jijini Dar es
Salaam.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)