Waigizaji wa Sanaa yaVichekesho, Senga (kushoto) na Pembe,wakiwasili katika shughuli hiyo ya maziko.
Waziri
wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki (EAC) Samwel Sitta, akiongozana na
baadhi ya wasanii wakati akiwasili kwenye shughuli maziko ya
aliyekuwa Mwigizaji mkongwe wa siku nyingi katika maigizo ya Redio na
TV, Mzee Kipara, aliyefariki usiku wa kuamkia jana huko Kigogo jijini
Dar es salaam, Mzee Samwel Sitta ameungana na waigizaji, ndugu jamaa,
na marafiki wa marehemu wa Mzee Kipara ambaye amezikwa leo katika
makaburi ya Kigogo. Kulia ni Saimon Mwakifwamba Rais wa Shirikisho la
wasanii wa Filamu nchini na (kushoto) ni Mwigizaji Hashim Kambi.
Mzee Magari, aiwasili mahala hapo.
Sheikh akitoa mawaidha.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)