Makamu
Wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata
utepe kuzindua rasmi Jengo la Ofisi ya Idara ya Maji, lililopo Wilaya ya
Pangani, wakati alipoanza ziara yake ya Mkoa wa Tanga leo, Januari 24, 2012.
Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Chiku Galawa (kushoto) ni Mkurugenzi wa Maji wa
wilaya hiyo, Mohamed Hamis
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiangalia ukuta unaozuia maji ya Bahari eneo la Pangani Kivukoni, unaozidi
kubomoka kutokana na kujengwa miaka 100 iliyopita na kutishia amani kwa wakazi
wa maeneo hayo. Makamu wa Rais ameanza
ziara yake ya Mkoa wa Tanga leo Januari 24, 2012
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozana na baadhi ya Viongozi wa Wilaya ya Pangani wakati akitoka kukagua
ukuta wa kuzuia maji ya Bahari
unaobomoka Pangani Kivukoni
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisikiliza maelezo kuhusu ukuta huo unaozuia maji ya Bahari unaobomoka
kutokana na mabadiliko ya Tabia nchi na kutishia amani ya wakazi wa maeneo hayo.
Pangani Kivukoni. Picha na Muhidin
Sufiani-OMR
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)