Waziri
wa Nishati na Madini William Ngeleja (kushoto) akiwekeana saini na
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Motherland Industries Limited kutoka
India Bw, V. K. Sood (Kulia) uwekaji saini wa mikataba mitatu ya
utafiti wa mafuta nchini, umefanyika leo jijini Dar es Salaam,
Waziri
wa Nishati na Madini William Ngeleja (katikati) akiweka saini mkataba
wa utafiti wa mafuta nchini kwa kampuni tatu kutoka nje, (kushoto) ni
Mkurugenzi mtendaji wa TPDC Bw, Yona Killagane na (kulia) Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni ya Matherland industries LTD kutoka India, Bw. V.K.
Sood .(kulia). Mkataba huo umewekwa saini leo kwenye jingo la Wizara ya
Nishati na Madini
Waziri
wa Nishati na Madini William Ngeleja (kulia) akifafanua jambo wakati wa
uwekaji saini wa mikataba mitatu ya uatafiti wa mafuta kutoka kampuni
za nje jijini leo DSM (Kulia) ni Kamishna Msaidizi wa Nishati
(Petroleum na Gas ) Bw, Prosper Victus
Waziri
wa Nishati na Madini Wiliam Ngeleja (kushoto) akibadilisha hati za
makubaliano ya utafiti wa mafuta nchini na Mkurugenzi Mtendaji wa
kampun i ya Petrobras kutoka Brazil Bw, Samuel Bastos de Miranda
(kulia) , hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es Slaam wakati wa hafla
ya uwekaji saini wa mikataba mitatu ya utafiti wa mafuta wa kampuni
kutoka nje
Kamishna
Msaidizi wa Nishati kutoka Wizara ya Nishati na Madini Bw, Prosper
Victus (alisimama mbele na Kabrasha) akitoa maelezo ya awali wakati wa
uwekaji wa saini mikataba mitatu ya utafii wa mafuta kutoka kampuni za
nje leo wakati wa hafla hiyo kwenye jengo la Wizara ya hiyo jijiji Dar
es Salaam.Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)