MSAADA POPOTE LAKINI TUWE MAKINI KATIKA HILI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MSAADA POPOTE LAKINI TUWE MAKINI KATIKA HILI

Kijana Ambaye Jina lake halikuweza kufahamika Mara moja alipokua akipita ndani ya Chuo Kikuu Cha Dodoma kwaajili ya kuchangisha fedha ya Ujenzi wa Shule ya Msingi Ipagala Kusini.Kijana Huyu aliweza kuchangisha baadhi ya wanafunzi huku wengine wakihoji uhalali wa kuchangisha na wengine wakihisi labda hizo pesa hazipelekwi panapohitajika na kuwa ni moja ya njia ya kujipatia kipato kwa njia isiyo halali.
Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Wakiwa wameshika Fomu ya Kuchangia Mchango kwaajili ya Ujenzi wa Shuke ya Msingi Ipagala Kusini kama walivyonaswa na Kamera yetu Hii Leo

Lukaza Blog inatoa Angalizo Maana Sio Wote wanaochangisha wametumwa kufanya bali hufanya hivyo kwaajili ya kujipatia kipato kwa njia ya udanganyifu kwa hiyo wadau watu wanamna hiyo wanapowafikia ni bora kuhoji uhalali wao na hata kuwauliza vitambulisho ili kusudi kuepuka kutapeliwa.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages