
Mange akiwa na Moja ya vyombo vitatavyouzwa leo



Mrembo akionyesdha nguo mablimbali z ukweli zinazouzwa ndani ya Mwamvita Makamba Vintage Sale Leo Jijini Dar es Salaam

Jacq,
Flaviana Matata na Mwamvita Makamba wakiweka Vitu sawa kabisa kwa ajili
ya charity Vintage sale inayoendelea hivi sasa jijini Dar es Salaam

Flaviana
Matata akiweka vivalo vizuri kabisa tayari ikwa kupigwa sale Kwenye
Duka la Kiki's Fashion Lilopo Msasani Karibu na Eagen na Hospitali ya
TMJ


Kiki na Shamim Wakiweka mambo sawa

Mwamvita
Makamba akichekicheki vituu muda mfupi kabla ya sale sala ya vintage
inayoendelea hivi sasa kwenye duka la kiki's fashion Jijini Dar es
Salaam,.Picha Zote na Mange





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)